Langa kuzikwa jumatatu kinondoni.
Mazishi ya rapper Langa Totty M Kileo
yanatarajiwa kufanyika Jumatatu ijayo
kwenye makaburi ya Kinondoni jijini Dar es
Salaam.
Langa alifariki jana jioni baada ya kulazwa
katika hospitali ya Kinondoni na kisha
kuhamishimwa katika hospitali ya taifa ya
Muhimbili kutokana na kusumbuliwa na
Malaria pamoja na homa ya uti wa mgongo,
Meningitis.
Langa Kile alizaliwa December 23, 1985.
Mungu ailaze mahali pepa roho ya
marehemu.
RIP LANGA
ReplyDelete