DOGO JANJA KUMSHIRIKISHA PREZZO NA DR CHAMILEONE NDANI YA NYIMBO MOJA
Msanii kutoka Mtanashati Entertainment,Dogo Janja,ameongea yupo katika mazungumzo na wasanii kutoka nchi jirani Prezzo na Dr. Jose Chameleone ili aweze kufanya nao kazi ya pamoja, ikiwa ni katika mikakati ya kupanua wigo wa kumtangaza zaidi kimataifa. Bado hajaweka wazi ngoma itaitwa jina gani na itafanyika studio gani. Amedai mazungumzo yakionda sawia ngoma hiyo inaanza kufanyiwa kazi mapema mwezi novemba.
0 comments: