KESI YA LULU MPAKA TAR 5 NOVEMBER
Msanii maarufu wa filamu nchini, Elizabeth 'Lulu' Michael pichani juu, akielekea kupanda basi la magereza kwenye viwanja vya Mahakama ya Hakimu Mkaazi Kisutu, baada ya kesi inayomkabili ya kutuhumiwa kumuua msanii mwenzake, Hayati Steven Kanumba, kuahirishwa tena na hivyo mwanadada huyo ambaye umri wake unaleta utata ataendelea kusota rumande hadi hapo kesi yake itakapotajwa tena...
0 comments: