AY TANZANIA NA CHANNEL O
Msanii wa Bongo Fleva almaarufu kama A.Y leo huko nchini South African amejichukulia tuzo ya kwanza katika kipengele cha Most Gifted East African video of the Year na hii ndiyo list ambayo alikuwa akichuana nayo katika kuwania tuzo hizo
Most Gifted East African video of the Year
Most Gifted East African video of the Year
- Keko Feat. Madtraxx – Make You Dance
- Camp Mulla – Party Don’t Stop
- AY feat Sauti Soul – I Don’t Want To Be Alone
- K’Naan Feat. Nas – Nothing To lose
- Navio – One & Only
0 comments: