RICK ROSS KUWAZIMIA WABONGO WATCH THE VIDEO WITH VANESSA MDEE AND MILLARD AYO
Mmoja wa watangazaji wa redio ya Choice FM inayomilikiwa na Clouds Media Group,Vanessa Mdee akifanya mahojiano mafupi na Mwanamuzuki wa Kimataifa kutoka nchini Marekani Rick Ross, Ndani ya hotel Hyatt Kilimanjaro Kempiski,jijini Dar Es Salaam,Mwanamuziki huyo alizikonga nyoyo za wakazi wa jiji la Dar na vitongoji vyake kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2012,lililofanyika kwenye viwanja vya Lidaz Club,Kinondoni.Pichani shoto ni Mtangazaji wa Clouds FM,Millard Ayo nae akirekodi mahojiano hayo.
0 comments: