Wednesday, October 10, 2012

0

T U E S D A Y , O C T O B E R 9 , 2 0 1 2 MWANAFUNZI AFANYA MTIHANI WA TAIFA WA KIDATO CHA 4 AKIWA WODINI MOROGORO.......

MWANAFUNZI wa kidato cha nne katika Sekondari ya Alfa Germ, Morogoro, Jessica Kiliani (17),amelazimika kufanya mtihani wake wa kuhitimu elimu hiyo akiwa wodini baada ya kufanyiwa upasuaji. Hatua hiyo ilifikiwa baada ya mwanafunzi huyo, kuomba aruhusiwe kufanya mtihani huo licha ya kuwa wodini akiugulia maumivu ya upasuaji aliofanyiwa na madaktari wa Hospitali ya Mkoa wa Morogoro kwa zaidi ya saa mbili na kulazwa katika wodi ya wazazi namba 7B.


0 comments: