Saturday, December 29, 2012

0

ROMA AAMUA KUIUZA 2030 KWA SH 3000 NA SIO KWA WEBS NA BLOGS



Tumezoea kuona wasanii kuanza kusambaza ngoma zao mpya kwenye blogs na websites mbalimbali na wakati mwingine hata kabla ya kuipelekea redioni. Roma amekuja na njia tofauti baada ya kuamua kuiuza ngoma hiyo kwa shilingi elfu 3,000. Hakuna free downloads!!



0 comments: