Saturday, January 5, 2013

0

WATEJA WA AIRTEL SASA KUTUMA SMS KWA SHILINGI MOJA

Ndikumwami akionyesha kipeperushi cha huduma ya SMS kichizi wakati wa uzinduzi wa huduma hiyo itakayowawezesha wateja wa Airtel nchini kutuma ujumbe mfupi wa sms kwa shilingi 1 kwa sms masaa 24 kwa siku 7 za wiki, kulia ni Meneja Masoko wa Airtel Rahma Mwapachu kushoto ni Afisa Uhusiano wa Airtel Bi Jane Matinde


0 comments: