Saturday, January 5, 2013

0

DIAMOND NDANI YA AM RECORDZ NA MANEKE KWA NYIMBO MPYA JANA...


          Diamond alisema hivi katika page yake ya blog 
(Leo tangia nimeamka nilikuwa na Mzuka wa kufanya ngoma...
Nikaona sio kesi ngoja nimvutie waya Maneck...
Eeeeh! nasasa hali iko hivi hapa Am Rec.
Ni moja ya wimbo wa tofauti sanaaaa..)

0 comments: