MAMBO YA DIAMOND KWENYE LAUNCHING PARTY YA NEW VIDEO YA OMMY DIMPOZ....ME & U...!!
Hii ndo Ilikuwa Outfit ya Jana.....!! |
skuzote kabla ya kwenda popote lazma tupitie kwa mama yetu mpendwa atupe Barka zake....!! |
Nikipokea baraka za Mama ....Nijaliwe Mema....na Niende kwa Amani...!! |
WASAFIIIII......!! |
Tulivofika Nje tukaanza Kukoki SMG zetu kabisaaa...!! |
Ramadhani Mpauka......!! |
Nikiwa na Abdallah Mjukuu wa Ambua toka EATV mi Humwitaga Dullah Planet |
Nikiwa Naingia Maishani ....!! |
Nikiwa naYvonne,Fetty Kitasa & Prince BrotherMan Dully Sykes...!! |
Mwaulanga pia Ndani... |
Ommy Dimpoz akihojiwa na Sesar wa CLOUDS fm Juu ya lAUNCHING ya Video yake..!! |
Poz kwa Poz OMMY DIMPOZ & PRESIDENT HIMSELF ..! |
Nikiojiwa na Sesar wa Clouds Tv Juu ya Uwepo wangu kwenye Launching Hiyo..! |
Nani Amenuna....?? Aii Nasema Nani Amenuna.....?? |
B12, TwangalaTwzzy toka Xxl ndo alikua anaongoza jahazi.... |
New Crew in Town ya Madada 'SHOSTITO' wakimwaga Mauno Stejini...!! |
Nikaanza kukinukisha kama kawaida yangu....!! |
Kwanza nikaanza kuwalewesha.!! |
aghaaa......!! |
Baadhi ya umati uliokuwepo Maishani.....wingi wa watu ulichangia AC kushindwa kufanya kazi kwa ufasaha...!! |
It was Hoot......& Craeeyzzz Baby....!! |
Dimpoz kwa Pozi...Super Handsome akaanza.....!! |
Tukutane tena baadaee.... aiii Baadaee......... |
Dimpoz kwa Pozi akiwauliza Mashabiki wake.....Niendelee Ama Nsiendele....?? |
Oooh Me & You.....!! Dimpoz akiimba kwa Hisia mbele ya mashabiki waliofurika ukumbini umo....! |
dah! Nafarijika sana nnapoona wananchi wanasupport wasanii wao...!! |
Basi ndo Ule Utamu...Utamu....!! |
Prince BrotherMan Dully Sykes Akizungumza na Mashabiki Bahada ya kumaliza\ kuwapa utamu....!! |
: |