Saturday, October 20, 2012

0

ANTI EZEKIEL AFUNGA NDOA ABADILI DINI SASA ANAITWA RAHMA

Baada ya siku chache kutangaza katika vyombo vya habari kwamba anatarajia kuolewa sasa habari imekamilika. Ezekiel amefunga ndoa jana mida ya saa mbili za usiku baada ya kubadili dini na kujulikana kama Rahma kuanzia hivi sasa na mchumba wake anaejulikana kwa a.k.a Demonte na baada ya kufunga ndoa hiyo aliamua kuweka ushahidi huu katika mitandano mbalimbali kwamba mashabiki wake wote pamoja na marafiki wafahamu kwamba ameshaolewa. TUNAKUTAKIA KILA LA KHERI KATIKA MAISHA YAKO YA NDOA




0 comments: