JUX KUACHIA VIDEO YAKE HIVI KARIBU
Jux vuitton ni moja kati ya wasanii wanaofanya vizuri hapa bongo hata njeBongo land pia tunafahamu kwamba msanii huyu kwasasa yuko nchini China na tumeona anafanya vitu vizuri vya muziki kwa ajili ya mashabiki wake sasa bhana habari nyingine ambayo tumeipata ni kwamba mtu mzima Jux baada ya kuhusishwa katika collabo nachief racka huko nchini China.Sasa amefanya video yake mpya ambayo inakwenda kwa jina la"NI SOO"nahapo chini ndiyo dzain mtumzimaJux yupo naQueenwavideo yaNi soo wakiwakatikauandaaji wavideo hiyo mpya.
0 comments: