Thursday, October 4, 2012

0

MAANDALIZI YA JUKWAA LA SERENGETI FIESTA YAANZA RASMI

Hayo ndiyo maandalizi ya jukwaa la mtu mzima Rozay pamoja na baadhi ya wasanii kutoka hapa Bongo Land wataitumia kuonyesha muonekano mpya na burudani ile ile. natumaini Fiesta ya Dar es Salaam mwaka huu 2012 itakuwa funga mwaka kwa sababu dzain ukipita kila kona utasikia swagga ni haaaaaaaaaa!!!!!!!! ya mtu mzima The Boss.pia bila kusahau
wale wanaotaka ticket za fiesta kuanzia sasa unaweza ukaenda katika ofisi za Clouds media group zipo maeneo ya Mikocheni.

Visit; www.djfetty.blogspot.com




0 comments: