Monday, October 1, 2012

0

RICKY ROZAY NA YOUNG JEEZY WAZOZANA BACKSTAGE

Licha ya kupanda kwenye stage wasanii wa wakubwa wa hiphop kwenye hiphop bet awards 2012 huku atlanta jumamosi ya jana, unaambiwa show kali ilikua backstage Ross Rick na Young Jeezy waliripotiwa kujibizana na kusukumana wakiwa backstage na kusababisha tuzo hizo kusimama kwa muda website ya TMZ imeripoti kuwa Mashahidi wa macho waliwaona wakibadilishana maneno makali Backstage kabla ya kuanza kusukuma. Security wa BET na bodygads wakaingilia kutuliza ugomvi lakini baada ya kutulia kiaina inasemekana mmoja wa kundi la rozay alirusha risasi wakiwa parking. Rozay na jeezy ambao wotewamesainiwa na def jam wamekuwa na beef kitambo ila show iliendelea kama kawa na rozay alipanda stage na omarion ambae yuko chini MMG. wakati jamaa wakiendeleza beef Fat JOe na 50 Cents walimaliza beef lao jukwaani walipopanda kutoa heshima kwa manager Lighty ambae alikutwa kajiua mwezi mmoja uliopita chini ni tweets za Funk Master Flex alizokuwa akitutweet wakat akiwa kwenye tuzo hizo



0 comments: