Wednesday, June 5, 2013

0

Asubuhi ya leo Maeneo ya Leaders Club ambapo mwili wa marehemu Albert Mangwear utakapougwa na wananchi wote




Watu wakiwa wameshafika asubuhi hii na mapema ili kumpa heshima ya mwisho Marehemu Albert Mangwear kabla ya kusafirishwa kwenda morogoro mchana wa leo kwenye nyumba yake ya milele...

Huku watu wakiendelea kujitokeza katika viwanja Leaders Club katika harakati nzima ya kutoa heshima ya mwisho ya ndugu yetu msanii wetu na kipenzi cha watu wengi muda huu mwili wa Marehemu Albert Mangwear ndio umeingia katika viwanja vya leaders Club

0 comments: