Langa Kileo (msanii wa Hip Hop Tanzania, pichani) amefariki dunia leo hii.

Langa alipelekwa hospitali akiwa hajitambui. Anadaiwa kuwa alikumbwa na Malaria